Nawakumbusha ombi la binti hapo wasije wakasahau kutenda haki.naona unamchongea.
Hahahahahaha kuna mtu kaja na gundu zake Taifa.Alichofanya *kichuya leo* kinaitwa baba mkanye mwanao asile *ngada*
kama ni goba basi nami niko njiani, mnifute machozi ya kufungwa.Kwakweli jirani... itifaki izingatiwe tu kwa maana hamna namna tena...
Pole sana mpenzi. Leo najua hata nikiomba gemu sitapewa... acha tu nifanye mapenzi na Red Labelnaona unamchongea.
Pole sana mkuuWachezaji wa Yanga wanastahili viboko wakawaonyeshe wake zao..... Wachezaji wazito hawakimbii..... Yaani kero tupu.!
Tatizo nga...dWachezaji wa Yanga wanastahili viboko wakawaonyeshe wake zao..... Wachezaji wazito hawakimbii..... Yaani kero tupu.!
ukizingatia kaomba mwenyewe.Nawakumbusha ombi la binti hapo wasije wakasahau kutenda haki.
Hahahaha wewe tena?? Sithubutu kukusahau...kama ni goba basi nami niko njiani, mnifute machozi ya kufungwa.
Ha ha haaaaaa mpeni ban huyuuuuu jamaniYanga ikifungwa leo naomba ban, mods please mnipe tu ban. Hahahahaaa raha ya kujiamini ndio hii. Na timu iwe imara kama Yanga.
#teamyangaforever#
hahahhahaa, siyo utayapata ya hasira za kufungwa.Pole sana mpenzi. Leo najua hata nikiomba gemu sitapewa... acha tu nifanye mapenzi na Red Label