Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Mpira ulikua fair mimi kama mwanayanga nakubali matokeo ya Uwanjani. Bado nasimama pale pale kubali kocha katikati ya msimu ulikua ni uamuzi wa kipuuzi.
 
nacheza play station namtumia Messi ili nishinde goli kama la kichuya


ila nashindwa
 
Next time Simba vs Yanga Waingie wachezaji 10 tu wa Simba Ila Yanga Muingie Wote 11
 
Hongereni Wamchangani mmestahili ushindi na pia hatmaye tutawaona baadhi ya watu ambao walijipiga ban

Crashwise na sembo
 
Mkuu sembo
Mimi naona tupeleke maombi TFF kuwa Kila Mechi na Yanga, Simba iingize wachezaji 9 uwanjani...
 
Siku nyingine mgome kucheza na simba tupate tu point tatu bila aibu ya magoli
 
Daàaah YANGA yangu ni nzurii tuuuh awa simba sijui wanairoga wap aisee ata ball psn tumewaongoza daaah
 
Back
Top Bottom