hahahahaaa aya bwana mie nachek game ya chelsea sasa hivi. mnyama nishamalizana nae.
Tunamuita maji jangwani [emoji460][emoji460]Huyu kawa janga jangwani
Mambo mremboo ?I hate but l love you Yanga. Mshxxxiiieeeww
hapana, ingawa natamanigi mara moja moja. teh
Nipo, namtafuta Nifah.I miss you a lot Masuke hahaha kaka Makoye Matale kachoka na drama za mpira wa bongo, tumwache apumzike kwanza. Upo jamani long time.
NdioIli useme ni off side?
Hahahaah nilijua tu mkuuWe jamaa kichwa hatari...
Nifah kalala anaumwa kichwa.... [emoji3]Nipo, namtafuta Nifah.
Pole sana NifahNifah kalala anaumwa kichwa.... [emoji3]
kwa kweli ngoja tuone. mana nae amekuwa na sifa.Nami ndiyo naingalia hiyo hiyo nimuone huyo Costa kama atatingisha nyavu tena leo.
Withdraw your statement brooh..Wakuu Habari Zenu? Naona Matumaini Yenu Hayakwenda Sawa...!
hahaha asa si unatamani tu kidogo afu ukifikilia kuvua picchu hamu ya kuchepuka inaisha.khe khe kheeeeeeeeee unatamani kuchepuka ili uvue picchu? 🙂🙂
Pole sanaMwenzenu leo sidhani kama ntapata unyumba kwa wife kwa matokeo Haya!!!
hahaha asa si unatamani tu kidogo afu ukifikilia kuvua picchu hamu ya kuchepuka inaisha.
Hatimaye leo haupo eneo korofi. HongeraShukrani Mkuu.
Kamfanyie usanii kama steve nyerere alivyofanya kwa mama sepenga..Mwenzenu leo sidhani kama ntapata unyumba kwa wife kwa matokeo Haya!!!