Kazi nzuri kwa msimbazi japo si nzuri sanaPatashika ya Ligi Kuu, Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Machi 1, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC wanapambana na JKT Tanzania FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mchezo huu inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu ikiwania kusaka ushindi wa alama tatu muhimu ili kuweza kujiweka sawa kwenye msimamo wa VPL.
Kwenye mchezo uliofanyika 4, 10, 2020 JK Tanzania walilala kwa jumla ya mabao nne kwa bila. Je leo JKT Tanzania watakubali kuwa wateja kwa Mnyama Mkali kwa mara nyingine?
Usikose Ukasimuliwa.. Kumbuka mtanange huu ni kuanzia saa 1: 00 Usiku.
======
08' Mugalu anaifungia Simba goli la kwanza
37' Luis anaweka bao la pili
View attachment 1714883View attachment 1714884
Huo mwiko huko nyuma unakuharibu akiliPaka fc bila mbeleko ni wepesi kama unyoya
Huyu kijana achukuliwe tu na team za kaskazMiquissone 2-0
Uto unasemaje tukuwekee mwiko mwingineKwa kikosi hiki huyu Gombezi sijui Rosa anafungwa mapema sana. Bao 3-0
Namuona akienda majuu moja kwa moja,Huyu kijana achukuliwe tu na team za kaskaz
Hard work pays
Asante sana mkuu, kazi nzuri sanaNafasi tena kwa Simba SC, Anakwendaa Mzamiiiiiiir, njeee
Ilikuwa hatari sana lango la JKT Tanzania
Hakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili AndunjeNamuona akienda majuu moja kwa moja,
Mwaka jana kuna klabu ya ligi kuu uholanzi ilimtaka dau likawa kidogo sana
We mtopolo unatuboa sasa, nenda kamalizie homework yako ukalaleHakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili Andunje
Sawa bwana TallHakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili Andunje
Hii Simba ni hatari sana, ila kocha ndio hatari zaidi ana mbinu kali sanaGoooooooooooooooal Miquissone
Luis Miquissone anaipatia Simba SC bao la pili akipokea pasi safi kutoka kwa Nyoni
Simba SC 2-0 JKT Tanzania