Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Wachezaji wenyewe wametulia vile, wadai penati saa ngapi?Hiviii...timu ikicheza namna hii....! Kuna haja ya kudai penati kweli ?
Hii Simba ya sasa, ukiwa na mpira wa kuunga unga hupati namba aisee...!!JONAS GERRARD MKUDE....Tafuta timu mapema Simba hii huna namba tena,Mkude ni official sio Regular tena kwenye kikosi cha Simba ni 2nd Choice or 3nd Choice kabisa.
Nibaulize bacongo kama banamtambua mutu ya kabambe Mugalu kama banamujua.Ukitaka kumjua vizuri piga simu pale AS Vita club uwaulizie habari yake...
Iyo ni penati,tff na marefa wakiendelea na mambo aya tutasusa ligi"Kudadeki"Kapombe anakwendaa, doooh anaangushwa ndani ya 18 na refa hakuna kituuu
Wameshazidiwa kitambo62' JKT Tanzania wamecheza faulo 16 dhidi ya 5 kwa Simba
Simba SC 2-0 JKT Tanzania
Aaa wapi[emoji3][emoji3][emoji3]Iyo ni penati,tff na marefa wakiendelea na mambo aya tutasusa ligi"Kudadeki"
Embu malizia kwanza na "KULITAKA MWANA, KULIPEWA MWANA" ndo tuendelee.Patashika ya Ligi Kuu, Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Machi 1, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC wanapambana na JKT Tanzania FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mchezo huu inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu ikiwania kusaka ushindi wa alama tatu muhimu ili kuweza kujiweka sawa kwenye msimamo wa VPL.
Kwenye mchezo uliofanyika 4, 10, 2020 JK Tanzania walilala kwa jumla ya mabao nne kwa bila. Je leo JKT Tanzania watakubali kuwa wateja kwa Mnyama Mkali kwa mara nyingine?
Usikose Ukasimuliwa.. Kumbuka mtanange huu ni kuanzia saa 1: 00 Usiku.
======
08' Chris Mugalu anaipatia Simba SC bao la kwanza, baada ya krosiiiiiiii kutoka kwa Miquissone
37' Luis Miquissone anaipatia Simba SC bao la pili akipokea pasi safi kutoka kwa Nyoni.
45+1
HT, VPL Simba SC 2-0 JKT Tanzania
View attachment 1714883View attachment 1714884
Mkude Ni level moja na GadielJONAS GERRARD MKUDE....Tafuta timu mapema Simba hii huna namba tena,Mkude ni official sio Regular tena kwenye kikosi cha Simba ni 2nd Choice or 3nd Choice kabisa.
Ingekuwa kidimbwi FC, kesho ungesikia maandamano...Kapombe anakwendaa, doooh anaangushwa ndani ya 18 na refa hakuna kituuu