Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Tatizo watu wanataka kuwafanya wachezaji kama marobot wanasahau kuwa na wao ni Binadamu
Watu washazoea kua kwakua simba ni bingwa basi kila mchezo anashinda

Na hiyo inatokana na club bingwa alivyokua bora mashabiki wamekua wakimuangalia kwa makadirio makubwa kwenye ligi ya ndani. Na ndio maana siku ile tutoe droo na prisons raia wengi wali diss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…