Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Dakika 3 za nyongeza

Duuh si itakua usiku sana mazee?

Umeme wenyewe sio wa uhakika au kama vipi umeme ukizingua wachezaji wacheze wakiwa wameuma tochi mdomoni
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
 
Mkuu Kagere kaingia hapo sasa angalia Kama utaziona tena hizo nafasi za wazi alizokuwa anakosa Mugalu maana yangu ni kwamba huyu Mugalu hata Kama anakosa lakini nafasi anatengeneza unaziona lakini hawa wengine hata kutengeneza nafasi tu ni mtihani shekh.

Hapo sasahivi unaona sasa jinsi mabeki walivyo huru kupeleka mashambulizi kwa Simba ?
Unaona dodoma wanavyokuja?
Upo sahahi hizi nafsi Mugalu anatengeneza, kagere akiwepo huzioni kabisa
 
Uwiiiii kwa aina ya Magoli tuloshinda.


Kumbe ndo maana, kuna tetesi nmesikia, Yanga wanaweza ingia mitini May 8


Ninani wakumzuia Chama?? Konde??? Hahahahahah



Haya magoli unaweza pigia nyeto[emoji23]
 
Back
Top Bottom