Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Tunataka tujue msimamo wako kabla ya mechi ulikuwaje

Hatutaki mapashkuna ambao wame switch baada ya mnyama kushinda kwa dhana ya kuwa kile walicholisema mwanzo kilikuwa ni utani

Kama ulikuwa ni mweusi basi kuwa mweusi

Kama ulikiwa mweupe basi kuwa mweupe

Ila usituletee ukijivu hapa
 
Sasa timu kama Simba wanaachaje kutazamwa na watu bilion? CAF wenyewe walitoa ya moyoni ni timu inayoongoza kutazamwa. Hivi unajua Simba hata isipofunga ina ka utamu fulani hivi yani kuna hali fulani ya kupendwa tuu, viva Simba Vivaaaaaaaaaaaaaaaa
Hata page yao ya twitter inapenda post mambo ya simba sababu inapata likes na comments kama zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…