NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Morisone na uchizi wake unaonekana uwanjani anaokoa timu kwenye wakati mgumu mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Afrika na dunia imesoma jersey zetu za Visit Tz, zile zao za KL na ZN sijui wamezitupa wapiKuna kenge wa blue mmoja alianzisha uzi wa kuponda simba kwamba tunaizalilisha tz hasa mambo ya utaliii kwa ile visit tz sasa sijui huko aliko anajisikiaje mjinga yule
Mume anenda unguruma sasa au sioJamani wapendwa wadau wenzangu wa Simba usiku mwema. Tutaendelea kesho nawapenda sanaaa ngoja nilale nisije Achika. Simba nguvu moyaaaaaa
Kunyweni Kistaarabu maana bado Robo hiyo hapoTBL na SBL amkeni mlete Bia hapa Baa za Nje Uwanja wa Taifa hali ni Kucheleeeeee, sherehe kubwa inaendelea na WanaMsimbazi wanakula Bheer hatari. Sooon kreti zote zitaisha
MTU unaahirisha kula mchana halafu jioni unakula Mara mbili. Alfajiri tena unaweka menyu njaa inatoka wapi.Mpira uishe watu tujiandae na swaum ya kesho.
Kukubwa tupewe mwarabu tu hii robo fainali, tukimleta kwenye jua tunashindilia kama za leo halafu huko kwao tunafunga mahesabu.Simba hongereni, hizi timu za bongo nazishabikia zikiwa kimataifa tu, maana zinaitangaza Tanzania [emoji1241] nchi yangu na kufanya iwe juu kisoka. Ila Yanga upuuzi mtupu mnatolewaje vile.
Biashara United ilichofanyiwa acha tu inakera.
Namungo hongera kwa kusaidia pamoja na simba msimu uliopita kupeperusha bendera.
Ila Simba ilipaswa kufahamu inahitaji magoli mengi iwe Top of group ambayo advantage ni Kuanzia ugenini then kufanya mauaji kwa mkapa. Ila Hongereni sana kwenda Robo fainali si haba.
Tanzania [emoji1241] imewakilishwa ipasavyo.
Mzee cheki page ya kwanza ya mechi nimeandaa kabisa Poster mwenyewe kwa ajili ya mnyama. Go first pageTunataka tujue msimamo wako kabla ya mechi ulikuwaje
Hatutaki mapashkuna ambao wame switch baada ya mnyama kushinda kwa dhana ya kuwa kile walicholisema mwanzo kilikuwa ni utani
Kama ulikuwa ni mweusi basi kuwa mweusi
Kama ulikiwa mweupe basi kuwa mweupe
Ila usituletee ukijivu hapa
Andika kwa maneno na usome kwa sauti utopolo wasikie na kuelewa.350,000×2300=805,000,000
nipo huku Sokota,sijui nitimbe hapo chapTBL na SBL amkeni mlete Bia hapa Baa za Nje Uwanja wa Taifa hali ni Kucheleeeeee, sherehe kubwa inaendelea na WanaMsimbazi wanakula Bheer hatari. Sooon kreti zote zitaisha
Sio kweli. Wanaangalia head to head kwanza. Hata tungefunga magoli 1000 kuongoza kundi isingewezekana.ilibaki goli moja tuwe kinara wa kundi ambapo tungeanzia robo ugenini na kumaliza nyumbani
Tusipewe Mazembe, hao wengine rahisiDraw itupe hawa Al Ahl tuingie nusu
1. Al Ahli Tripoli [emoji1149]
2. Pyramids [emoji1093]
.
1. Orlando Pirates [emoji1221]
2. Al Ittihad [emoji1149]
.
1. TP Mazembe [emoji1078]
2. Al Masry [emoji1093]
.
1. RS Berkane [emoji1173]
2. Simba SC [emoji1241]