Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Draw itupe hawa Al Ahl tuingie nusu

1. Al Ahli Tripoli [emoji1149]
2. Pyramids [emoji1093]
.
1. Orlando Pirates [emoji1221]
2. Al Ittihad [emoji1149]
.
1. TP Mazembe [emoji1078]
2. Al Masry [emoji1093]
.
1. RS Berkane [emoji1173]
2. Simba SC [emoji1241]
Tupewe mwarabu tu aiseeh.
 
Draw itupe hawa Al Ahl tuingie nusu

1. Al Ahli Tripoli [emoji1149]
2. Pyramids [emoji1093]
.
1. Orlando Pirates [emoji1221]
2. Al Ittihad [emoji1149]
.
1. TP Mazembe [emoji1078]
2. Al Masry [emoji1093]
.
1. RS Berkane [emoji1173]
2. Simba SC [emoji1241]
Tukiangukia kwa team kama Orlando itakuwa ni bahati nasibu sana kupenya, hasa ukizingatia kwamba tunaanzia nyumbani.
 
Draw itupe hawa Al Ahl tuingie nusu

1. Al Ahli Tripoli 🇱🇾
2. Pyramids 🇪🇬
.
1. Orlando Pirates 🇿🇦
2. Al Ittihad 🇱🇾
.
1. TP Mazembe 🇨🇩
2. Al Masry 🇪🇬
.
1. RS Berkane 🇲🇦
2. Simba SC 🇹🇿
Kaskazini bado wanatawala mashindano
 
Safi sana, alafu unakuta Yanga wanaombea mabaya.

JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala it.

Taifa linahitaji kukua kisoka vitu kama hivi ni kuonesha mshikamano ila ndio hivyo ushabiki unapofusha.
Takwimu kabla ya mkeka wa robo

TANZANIA
Msimu ujayo wa 2022/2023 Tanzania inakuwa na Mwanzo wa POINT 20.5 kabla ya kuongezwa Point za Simba itazopata msimu huu sasahivi mashindano yanavyoendelea.
1. Simba ikiwa ya Nne kwenye Kundi Tanzania itabaki na Point 23
2. Simba ikiwa ya Tatu kwenye Kundi Tanzania itabaki na Point 25.5
3. Simba ikivuka kwenda Robo Fainali Tanzania itakuwa na Point 30.5

NIGERIA
Msimu ujayo inaanza na Point 26 na hakunanyongeza ya Point msimu huu kwakuwa Nigeria haina Ushiriki wa Timu katika Makundi.

ZAMBIA
Msimu ujayo inaanza na Point 22 kabla ya kuweka nyongeza ya msimu huu kwa Ushiriki wa Timu ya Zanaco iliyopo Makundi
1. Zanaco ikiwa ya Nne kwenye Kundi Zambia itabaki na Point 24.5
2. Zanaco ikiwa ya Tatu kwenye Kundi Zambia itabaki na Point 27
Kutokana na Matokeo ya sasa havuki zaidi ya hapo.

LIBYA
Inawakilishwa na Timu 2 zote Confederation Cup (Al Alhy Tripoli na Al Ittihad)
Msimu ujayo inaanza na Point 8 kabla ya kuweka nyongeza ya msimu huu wa Timu zake zilizoingia Makundi.
1. Timu zote mbili zikitolewa katika makundi Libya itabaki na Point 13
2. Timu moja ikiingia Robo Fainali na Moja ikashindwa Libya itakuwa na Point 23
3. Timu zote mbili zikiingia Robo Fainali Libya itakuwa na Point 28
4. Timu moja zaidi ikicheza Nusu Fainal Libya itakuwa na Point 33

CAMEROON
Msimu ujayo inaanza na Point 12 kabla ya kuweka nyongeza ya msimu huu kwa Ushiriki wa Timu ya Coton Sports iliyopo Makundi
1. Coton ikiwa ya Tatu kwenye Kundi Cameroon itabaki na Point 17
2. Coton ikivuka kwenda Robo Fainali Cameroon itakuwa na Point 22
3. Coton ikivuka Nusu Fainal Cameroon itakuwa na Point 27
4. Coton ikicheza Fainal Cameroon itakuwa na Point 32

IVORY COAST
Msimu ujayo inaanza na Point 5.5 kabla ya kuweka nyongeza ya msimu huu kwa Ushiriki wa Timu ya Asec Mimosa iliyopo Makundi
1. Asec ikiwa ya Nne kwenye Kundi Ivory Coast itabaki na Point 8
2. Asec ikiwa ya Tatu kwenye Kundi Ivory Coast itabaki na Point 10.5
3. Asec ikivuka kwenda Robo Fainali Ivory Coast itakuwa na Point 15.5
4. Asec ikivuka Nusu Fainal Ivory Coast itakuwa na Point 25.5
5. Asec ikichukua kombe Ivory Coast itakuwa na Point 30.5
 
Back
Top Bottom