Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wiki jana nilipata kusikia clip moja ya sheikh akisema kuwa e ushindi waliokuwa wanaupata simba ulisababishwa na mdomo wa haji manara
Yaani mdomo wa Manara ndio ulikuwa unamfanya konde boy apige ile mivyenga, yani mdomo wa manara ndio ulisababisha mpaka chama awe anapiga vile visigino vya kimaudhi
Kiukweli nilisikitika sana
Kwa maana hiyo angeendelea kuwepo hata hili goli la Kanoute pamoja na goli gumu la mugalu, kwa mujibu wa sheikh kongole zote zingeenda kwa Manara