Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba timu kubwa si tu Tanzania bali nje ya nchi usiku wa kuamkia tarehe 4 imeigalagaza Yanga B kipigo kikubwa hadi wachezaji wakapoteana uwanjani, hii ndiyo Simba timu kubwa haijawahi kutokea Tanzania na Afrika ndani ya karne ya 21.
 
Orlando pirates
Al Ittihad (libya)
Tp Mazembe
Rs Berkane

Hawa ndio vinara wa makundi..nani tutakutana nae?

20220404_063002.jpg
 
Eeh bhana utopolo wamelala na viatu, defense, offensive and attacking wings wameupiga mwingi. Gentamicine mwenye uwezo wa kitopolo kupanga kikosi cha Simba kacheze ndondo next level za football tuachie akina Gaucho ili uitwe Gaucho always ni next level.
Unaongelea kitu gani mbona ueleweki,,genta anapowachana ukweli mnamchukia kumbe
 
Back
Top Bottom