Alafu mbona pisi kali zote za JF ni simba🤔🤔🤔🤔🤔Popcorn zinanoga kwenye match Kali kama hii .
Usisahau refreshing drinks
🤣🤣🤣🤣🤣Wee jamaa nyie shindeni huko sie tunashinda nbc premierNdio maana hata nyie Yanga huwa hampendi kufika mbali kwenye haya mashindano maana hayana pesa
Umesema ukweli japo mimi sio pisi kali.Alafu mbona pisi kali zote za jf ni simba🤔🤔🤔🤔
Wajinga mnoDStv wapumbavu sana
Wanarusha channel ya footballDStv wapumbavu sana
Dah shukrani mkuu maana nilikuwa nimeshasusa naangalia Juve na InterWanarusha channel ya football