Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Yaani imefikia hatua unafurahia hadi kitufe cha Live ilihali kinachoendelea sio Live. Lol

Ama kweli faraja zipo za aina nyingi. πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣☝️☝️
Daah, faraja tena🀣🀣🀣
 
Mi sijambo Ntani. 🀣🀣🀣
Nafurahi kusikia hilo mtani.

Maana umenichekesha sana. Sisi Simba ya robo fainali tunajifariji kwa LIVE ya Ruvu🀣. Ama kweli kukosa ubingwa mwaka huu imekuwa tabu tupu
 
Nafurahi kusikia hilo mtani.

Maana umenichekesha sana. Sisi Simba ya robo fainali tunajifariji kwa LIVE ya Ruvu🀣. Ama kweli kukosa ubingwa mwaka huu imekuwa tabu tupu
Hahahaaa. Ndio eti πŸ™ˆ sababu tusemeje sasa.

Ubingwa upo mtani kwani Yanga huwa inapoteza sana mechi second round. 🀣🀣
 
Hahahaaa. Ndio eti πŸ™ˆ sababu tusemeje sasa.

Ubingwa upo mtani kwani Yanga huwa inapoteza sana mechi second round. 🀣🀣
Mwaka huu mtani mtasema sana. Sisi ndio wa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. 🀣

Tusubiri msimu ujao tuone kama mtaendelea kutetema. Miaka minne mlikuwa mnafukuzana tu sasa tumewatupia Manara na Senzo basi mnajiona wajanja.🀣
 
Hahahaaa. kuna kale kamsemo ka " The Return of Champions" ndo kanatake place sasa. 🀣🀣🀣

Na utashangaa zaidi pale tutakapokuwa mabingwa endelevu sababu pesa za Azam sidhani kama zitawachika kirahisi Mtani.

Muanze tu kuandaa mafundi wa kuwapunguzia nguo maaana mutakonda sana. 🀣🀣🀣🀣
 
Kweli sasa ndio naijua raha ya ubingwa na mateso wanayopitia wanaosaka ubingwa.

Kumbe kwa miaka minne mtani Shadeeya na wenzio mmeteseka hivyo 🀣. Kweli msiba usikie kwa jirani tu.

ntazana ntazana tuwaache hawa wafute huzuni ya miaka 4.
Ubingwa kitu ingine mtani. πŸ˜‚

Tuliteseka kweli sio utani na ujue nini hatukuteswa na ubingwa ila nyie ndo mlitutesa kwa kebehi zenu.

Hivyo nikikaa huwa naombea sana tutwae huo ubingwa kwa kweeli. πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…