🤣🤣🤣Hii kauli mbiu nilichekakaga sana kumsikia jamaa anaitoa kwa timu mbovu isiyoandaliwa kwa michuano ya kimataifa. Halafu na ninyi mkadanganyika kweli 🤣." The Return of Champions"
🤣🤣🤣Kwakwelii wameteseka sanaaKweli sasa ndio naijua raha ya ubingwa na mateso wanayopitia wanaosaka ubingwa.
Kumbe kwa miaka minne mtani Shadeeya na wenzio mmeteseka hivyo 🤣. Kweli msiba usikie kwa jirani tu.
ntazana ntazana tuwaache hawa wafute huzuni ya miaka 4.
Ni kweli usemalo Mtani Kikosi chetu kinahitaji maboresho ili kifanye vizuri Kimataifa.🤣🤣🤣Hii kauli mbiu nilichekakaga sana kumsikia jamaa anaitoa kwa timu mbovu isiyoandaliwa kwa michuano ya kimataifa. Halafu na ninyi mkadanganyika kweli 🤣.
Andaeni timu mtani... Simba mwaka huu ilikuwa mbovu vinginevyo mtapotezwa na kauli za waganga njaa tu. Mtaanza CL round ya kwanza tu chali 🤣
Vise versa is true .🤣🤣🤣Kwakwelii wameteseka sanaa
🤣🤣Vise versa is true .
Wakati wenu sasa mdogo wangu. 🤣🤣