Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Ungelijua hili ungekuwa unatusapoti tunapo shiriki michuano hiyo ya kimataifa

Lakini roho ya uchawi ndio iliyokufanya uone kawaida kuwapokea airpot timu pinzani na kuwashangilia.
Uchawi haupo kwa mujibu wako
 
Ruvu Hawataki kwenda mbele wote wapo nyuma mapema tu..Haya mwenye shida atamfuata mwenzake

07' Simba SC 0-0 Ruvu Shooting
 
Admin kama admin

FF9B4FF3-E23E-43C6-B93C-09A20573841F.jpeg
 
Bado mechi ngapi hii ligi iishe, hamu sasa hivi ni kuona Simba SC itawasajili wakina nani, wala sio hizi game tena.

Game yangu iliyobaki ni moja tu; Simba SC vs Dar Young Africans, Semi Final ya Azam Federation.

Una maana hiyo Simba imeshatinga hiyo nusu fainali??!!
 
Hii game ya heshima, Simba wapambane angalau wapate ushindi. Naipenda Yanga, ila hawa Simba wanahitaji pia maboresho ktk kikosi hiki kuelekea CCF msimu ujao.
 
Binafsi bado nina imani kubwa sana na wachezaji wengi sana wazuri waliopo Simba
Sina imani kabisa na Pablo

Ameshindwa kuleta utulivu kwa wachezaji kujiamini kutokana na mbinu zake
Pamoja na Boko na Kagere kuonekana umri umekwenda lakini ukiangalia vizuri kwa jicho la kiufundi utaona tatizo sio umri au kuchoka kwa wachezaji........ Tatizo ni mbinu za mwalimu, inaonekana bado anapata tabu sana kukabiliana na mazingira mazima ya mipira yetu ya kiafrika

Kama tunataka kurudi kwenye ubora wetu nadhani Pablo sio mtu sahihi tulikosea
 
sioni tatizo la kocha,unataka kocha akamtengee Kibu mpira karibu kabisa na goli afunge?
 
Kumuaccomodate mchezaji. Inawezekana Kibu au Kagere hawatakiwi kukaa mbali na lango ili wakokote wakafungwa. Kutoka magoli 16 mpaka 0 kwa Boko halafu useme ni umri,hiyo negative slope ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom