MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua.
Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara Muhimu sana Tanzania acha Kutumia Cheo chako na Kushirikiana na Watu wa Data ( hawa wa N-CARD ) ili Kucheza za mfumo wa Internet ili uwe taratibu ( Slow ) na Wapenzi wa Simba SC wakasirike na wakate Tamaa Kukata Tiketi kusudi Uwanja wa Mkapa Usifurike mpaka Pomoni Siku ya Kilele cha Simba Day Jumapili tarehe 19 Septemba, 2021.
Na nyie Uongozi wa Simba SC Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti upande wa Wanachama Mzee Mangungu, Kaimu Msemaji wa Simba SC Ezekiel Kamwaga na Waratibu wa Tamasha hili akina Mulamu Ng'ambi amkeni upesi mlishtukie na mlishughulikie hili haraka kwani N-CARD Wanatumika Kimkakati Kuihujumu Simba SC katika Tiketi Mtandao ili Uwanja usijae na tuchekwe kama si Kuumbuka pia.
Msije kusema Mightier sijawaambieni.