Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

Tulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe
Ndoto za mchana
 
Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanja
sasa kama simba hajajaza uwanja kuna hatari gani, tutakosa ubingwa wa ligi au ngao ya jamiii.
 
Mreta mada kama umechanginyikiwa vile, hebu wahi umuone Dr yaaani kujaza uwanja tu ndio iwe tabu kiasi hicho. kwani zeru zeru akipiga kelele za nini si ndio kazi yake. kuna vitu havihitaji kabisa kututoa kwenye focus
 
sasa kama simba hajajaza uwanja kuna hatari gani, tutakosa ubingwa wa ligi au ngao ya jamiii.
Mkuu ni upande wa pili kutafuta kujificha kwenye kichaka baada ya mechi yao kule Nigeria
 
Tulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe
Ni jambo ambalo haliwezekaniki.....
 
Back
Top Bottom