Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

hii ndio tafsiri ya makolo yasiyo na akili yakiongozwa na liongo li genta..

Malalamiko FC
 
Waulize watu wa clearing and fowarding au watu wanaofanyakazi na TRA watakupa elimu nini maana ya system down.

Maana si kwa umbumbumbu huu, hao N card kwamba hawataki pesa? Hivi kwamba hujui hata JF huwa inakuwa down mpaka kwa siku 3 hadi wiki?
mkuu mbona unapoteza muda kubishana na zuzu
 
Waulize watu wa clearing and fowarding au watu wanaofanyakazi na TRA watakupa elimu nini maana ya system down.

Maana si kwa umbumbumbu huu, hao N card kwamba hawataki pesa? Hivi kwamba hujui hata JF huwa inakuwa down mpaka kwa siku 3 hadi wiki?
Ndo iwe down kwa Simba tu! Is it coincidence au conspiracy?
 
Roho mbaya tu kwani Simba wanawakilisha nchi gani.

Huu ni ushabiki wa kishamba mno ushapitwa na wakati ndio ushabiki unaorudisha soka letu nyuma.

Utakuta hadi viongozi wa siasa wanatawaliwa na hisia wanasahau wapo kwa mujibu wa maslahi ya taifa

Kama sisi kwa sisi tunahujumiana kwa swala la maendeleo Kama haya

Utorism tegemeeni makubwa huko river City
 
Basi fungulieni milango bure muone utakavyo jaa.
 
Viongozi wa Simba na wasimamizi wa mfumo wa tiketi za kielektroniki N-Card, wamekubaliana kutoa kadi nyingine tofauti kwa ajili ya watu kuingia uwanjani kwenye Tamasha la Simba Day. #SimbaDay2021 #NguvuMoja
 
Hizi za alama ya siri zisizoonekana watalizwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…