Ndoto za mchanaTulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe
Ni mbumbumbu mwenzako huyo. Kama wenyewe kwa wenyewe hamsomani, sisi ndiyo tutaelewa kweli!!!huyu kaandika manini?
sasa kama simba hajajaza uwanja kuna hatari gani, tutakosa ubingwa wa ligi au ngao ya jamiii.Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanja
Mkuu ni upande wa pili kutafuta kujificha kwenye kichaka baada ya mechi yao kule Nigeriasasa kama simba hajajaza uwanja kuna hatari gani, tutakosa ubingwa wa ligi au ngao ya jamiii.
Ni jambo ambalo haliwezekaniki.....Tulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe
Pia ni ishara ya ukosefu wa nguvu za kiiumeKuandika thread nzima kwa herufi kubwa ni dalili ya kuchanganyikiwa