Nilijua tu mechi kupelekwa zanzibar hakuna la maana sana simba itafanya ...kisaikoloji ni kama simba nayo ipo ugeniniTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Zamalek kacheza dakika 180 bila goli,Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah [emoji1787]… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Lidude likubwa licheze shirikisho 😂😃😀Simba ni lidude kubwa we kivulana
Haikupaswa kupeleka game NZN.Nilijua tu mechi kupelekwa zanzibar hakuna la maana sana simba itafanya ...kisaikoloji ni kama simba nayo ipo ugenini
Uchwawa wa Uzanzibari utatuponzaHaikupaswa kupeleka game NZN.
Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi
Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
Issue sio kushinda, inatakiwa afunge 2-0Hamuwezi kushinda pale SA , amini kaka nakuhakikishia
Si umeona timu yenyewe sio haba na imewakosa kosa sana
Sasa kwao itakuaje.::…….. imeishia hata muwashe moto
Ngoja uone shoo goli moja alilolitumia kumtoa zamalek ndo hilo hilo linamtoa nusu fainaliHamuwezi kushinda pale SA , amini kaka nakuhakikishia
Si umeona timu yenyewe sio haba na imewakosa kosa sana
Sasa kwao itakuaje.::…….. imeishia hata muwashe moto
Imeshatolewa SSCKumpeleka muarabu zanzibar ni kumfanya yeye kuwa uwanja kama wa nyumbani na simba kuwa kama ugenini ushindi wa mpira unategemea sana saikolojia pia...mimi siyo mpenzi wa mipira hivi simba ndiyo imetolewa au bado wanakwenda kucheza ugenini?
Taifa simba ingepata bao 2 au zaidi ya 2 uhakika ulikuwa asilimia 100 %Haikupaswa kupeleka game NZN.
Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi
Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
Du kumbe wametolewa 🙄🙄🙄🙄Imeshatolewa SSC
KULE ZNZ ilikuwa ugenini
Taifa kwa SSC kuna energy fulani pale Juwan ngumu SSC kukuqcha
Kule ZNZ ni ugenini
Habari imeisha
Simba akivuka hiki kigingi anabeba kombaTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
I swearTsifa simba ingepata bao 2 au zaidi ya 2 uhsk8ka ulikuwa asilimia 100 %
Tqifa simba ingepata bao 2 au zaidi ya 2 uhakika ulikuwa asilimia 100 %