Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Nasikitika kuona watu wengi kudhani simba kazingua kuliko stele...
Simba kashinda na hakuruhusu wageni kupata goli, kwangu hii ni kubwa
Kule MISRI Almaty aliruhusu goli?

Tupunguze kuota

Game za Africa huchezwa Home sio away
 
Kimahesabu stella... atakuwa na kazi ya ziada, kwanza kuhakikisha wanafunga goli pili kuhakikisha simba hapati goli
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Yanga ni timu bora sana haiwezi kulinganishwa na Simba ainayofurahia kucheza nusu fainali ya Shirikisho ambalo Yanga ilicheza Fainali
 
Ile ni michuano mikubwa

Hii timu iliyocheza na SSC ulishawahi kuisikia mara ya mwisho lini?
Kwahiyo utopolo alienda kucheza michuono mikubwa asiyoiweza?
Na kama mlijua ile michuono ni mikubwa hamuiwezi si mngeacha wakaenda kuicheza simba wanaoiweza?
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Kacheze na jkt ndo kundi lako huku wamebaki wakubwa
 
Ari na kujitambua kwanzia Fadlu hadi wachezaji ni hovyo, they know nothing, it's like they didn't know anything, not even a home win goal margin, poor coach
 
Do not trust uongozi wa simba ni waarabu wenzao tena dini moja inawezekana kabisa kuna mabilioni watu wanapewa maana muarabu aangalii hela atakayo pata kwenye mechi bali heshima na faida nyingine ...sina imani na viongozi wa timu zetu hizi .......kwenye mipira kuna biashara za kichaga za kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku ...usikute muarabu ndiyo mbinu anayo tumia kuzishinda timu zetu kila kukicha ...usikute kuna mzigo wa dola mil 12 watu wamesha wa utoaji in
Wale sio waarabu ni wasouth
 
Hizo tano mngewapiga kwanza al hilal pale kwa mkapa na Mc algiers,kipindi unamuongelea Simba angalau na wewe ungekuwa nusu final Champions league,Wanayanga hamna haki ya kutoa ushauri kwa Simba kwasababu ni low level,Timu namba 4 kwa ubora soka la Afrika inashauriwaje na timu dhaifu
 
Wale sio waarabu ni wasouth
Hata wa south siyo kaburu siyo mtu mbele ya mali .. tuliona walicho ifanyi yanga ....shaka yangu ipo palepale hakuna wakubwa wanapokea mzigo wa pesa hivi simba na yanga na viongozi wao wanashindwa kuimiza uwanja wa Benjamin uwe sawa ?
 
U
Hizo tano mngewapiga kwanza al hilal pale kwa mkapa na Mc algiers,kipindi unamuongelea Simba angalau na wewe ungekuwa nusu final Champions league,Wanayanga hamna haki ya kutoa ushauri kwa Simba kwasababu ni low level,Timu namba 4 kwa ubora soka la Afrika inashauriwaje na timu dhaifu
Ubora wa kukosa goli wewe na kipa
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Hao mafaita wameishia makundi
 
Haikupaswa kupeleka game NZN.

Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi

Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
NZN ndio wapi?
 
Back
Top Bottom