Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Muda utatoa jibuHamuwezi kushinda pale SA , amini kaka nakuhakikishia
Si umeona timu yenyewe sio haba na imewakosa kosa sana
Sasa kwao itakuaje.::…….. imeishia hata muwashe moto

Usijiaminishe kwa kuapa mkuu, mpira una mengi utaishia kushangaaI swear
Pale ingeshinda nyongi
Kitengo cha intellgence cha Ssc kimefeli sna
Mpira ni energy…. Energy flow kwa taifa ni kubwa na ule ndio uwanja wa SSC
KUNA ENERGY TRANSCENDENCE KUBWA
ZNZ walikuwa ugenini
Yanga apige goli tano kwenye kombe lipi?.Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Sasa why yanga hakucheza Leo?Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Inawezekana simba walizikosa hizo chances kutokana na pressure ya kutaka kufunga goli nyingi, lakini naimani kule sauzi at least pressure itakuwa chini na wanaweza kupata chochoteHata Madrid waliamini ivo
U
Mbwiga una mambo ya kike sanaMbona ni rahis
Kwan misr mlifungwa ngap
Sio RaisInawezekana simba walizikosa hizo chances kutokana na pressure ya kutaka kufunga goli nyingi, lakini naimani kule sauzi at least pressure itakuwa chini na wanaweza kupata chochote
Do not trust uongozi wa simba ni waarabu wenzao tena dini moja inawezekana kabisa kuna mabilioni watu wanapewa maana muarabu aangalii hela atakayo pata kwenye mechi bali heshima na faida nyingine ...sina imani na viongozi wa timu zetu hizi .......kwenye mipira kuna biashara za kichaga za kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku ...usikute muarabu ndiyo mbinu anayo tumia kuzishinda timu zetu kila kukicha ...usikute kuna mzigo wa dola mil 12 watu wamesha pewaI swear

iMeisha iyo