Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Sema licheze Shirikisho la CAF

Lidude likubwa linacheza shirikisho la TFF au Shirikisho la CRDB😂🤣🤣

Yanga vs Stendi Yunaitedi
😂😂😂😂
 
Nakuhakikishia Simba inaenda kumtoa Stellenbosch na kutinga fainali.
Tunzeni maandishi haya.
Kumbe bado aijatolewa mbona amsomeki ndiyo maana sipendi mipira kwa sababu ya ushabiki ..nikama mambo ya dini yamejaa ushabiki
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Pole sana kijana ....

This is Simba brother......

Lion king.jpeg
 
Aibu yako hii.
 
Back
Top Bottom