Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Simba wameshinda mechi zote walizocheza nyumbani:
Kuna mtu alikandwa 2:0 na kutoa sare nyumbani:
 
Mashabiki wa Yanga kweli wengi ni mabumunda.

Timu ilikua kwenye kundi dhaifu imeshindwa kwenda robo yanajinasibu eti yangeshinda 5 wakati kwa Mkapa kupata goli 1 tu ili ifuzu kwenda robo imeshindikana.Mpira sio maneno,mpira ni art.

Chikundi FC inateseka sana,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona Yanga ilifungwa home 1 -2 ikaenda kushinda 0-1 away kwenye ile fainali?
Au hukuona mechi mbili za Yanga kwenye fainali za mashindano haya?
Jifunze mambo ya mpira
Hamu
Nakuhakikishia Simba inaenda kumtoa Stellenbosch na kutinga fainali.
Tunzeni maandishi haya.
bekane mtawawweza au unalilia tu kwenda fainal

Wewe na stella sion wa kumfunga bekane
 
Zamalek kacheza dakika 180 bila goli,

Simba ina advantage maana sare yoyote wanapita au hata 3-2, 2-1, nk

Naiona Simba fainali
Umeoga kinyesi sasa unanuka mavi Simba hafiki fainali
 
Yanga project ni kubeba klabu bingwa Africa msikilize Aziz Ki kilichomleta uto, Yanga kufika fainali loosers cup kwetu utopolo yale ni mazoezi tu, simba ni wale wa Ile methali ' "ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno", sisi tunataka kombe la wanaume, hata hivyo ni kweli Simba imeumaliza mwendo japo imeshinda kagoli kamoja
soon mtaanza kuishabikia Berkane....
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Hiyo Yanga iko wapi?
 
Mashabiki wa Yanga kweli wengi ni mabumunda.

Timu ilikua kwenye kundi dhaifu imeshindwa kwenda robo yanajinasibu eti yangeshinda 5 wakati kwa Mkapa kupata goli 1 tu ili ifuzu kwenda robo imeshindikana.Mpira sio maneno,mpira ni art.

Chikundi FC inateseka sana,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanasahua kwamba kwenye haya mashindano kinachotakiwa ni strategy nzuri na sio mbwembwe
 
Mashabiki wa Yanga kweli wengi ni mabumunda.

Timu ilikua kwenye kundi dhaifu imeshindwa kwenda robo yanajinasibu eti yangeshinda 5 wakati kwa Mkapa kupata goli 1 tu ili ifuzu kwenda robo imeshindikana.Mpira sio maneno,mpira ni art.

Chikundi FC inateseka sana,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inawezekana simba kwa mujibu wa wana~yanga haichezi vizuri lakini nina uhakika kwenye lile kundi la yanga simba angefuzu
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Hari ndo mdudu gani? Jifunze kuandika ndo uje kuchambua soka
 
Inawezekana simba kwa mujibu wa wana~yanga haichezi vizuri lakini nina uhakika kwenye lile kundi la yanga simba angefuzu
Tena bila tabu yoyote ile,halafu wanashupaza shingo huku hata yao hawayajadili,yaani kama yamerogwa vile
 
Kule Yanga wenye akili ni wawili tu. Pamoja na kwamba mbumbumbu ni wengi laki hamna hata mwenye Shaka ya kujitoa kwenye kundi la wasio na akili akiwemo mwandika uzi
 
Jana ulisema Simba imeahatolewa, leo unasema Simba na Stellenbosch hawaiwezi Berkane.
Haya ndiyo madhara ya kuanza kushabikia Yanga ukubwani.
Tuwasubiri tukishabeba ndoo waseme Berkane ni timu dhaifu imewazaje kuingia fainali...

Yani wao kila timu inayofungwa na Simba inageuka kuwa dhaifu...
 
Wasio na akili huishia kusema ANGE.....

Vile wao hawapo mashindanoni.

Wanaishi kwa kudhani kama kichaa kaona mwezi na kushangaa

Back
Top Bottom