Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Yanga iliwahi kufika fainali kwenye kombe hili hili. Kwa hiyo nao ni wamama.
Think twice before you post anything.......
Yanga project ni kubeba klabu bingwa Africa msikilize Aziz Ki kilichomleta uto, Yanga kufika fainali loosers cup kwetu utopolo yale ni mazoezi tu, simba ni wale wa Ile methali ' "ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno", sisi tunataka kombe la wanaume, hata hivyo ni kweli Simba imeumaliza mwendo japo imeshinda kagoli kamoja
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah
 
E
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Wachezaji wa yanga wanashindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger ndio unasema wana hari na fighter acha kudogosha akili yako
 
Haikupaswa kupeleka game NZN.

Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi

Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
Hapo taifa ndo kuna hirizi zao?
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia

Masuala ya Tanganyika siku zote hayafai kuyapeleka Zanzibar .

Simba itashinda kule S.A. goal 2.
Siku nyingine wasirudie Tena kupeleka Timu Zanzibar labda mechi ya kirafiki.
Wazanzibari tu hawana morali na mambo ya Tanganyika
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Punguza pombe unapoangalia mpira!
 
Yanga hii hii ambayo ilitakiwa kupata goli Moja tu mbele ya mwarabu mbovu ndiyo ingeifunga hii timu goli 5? Ila Mashabiki wa utopolo mna matatizo mengi vichwani mwenu.
Wenye akili kule ni wawili tu. Wanajipa ukubwa ambao hawana.
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Ombeni mechi ya kirafiki, muwapige tano
 
Ukweli mchungu kwetu wana Msimbazi.
 
Mlimshindwa yule mwarabu alowafanyima kwenda robo fainali ndo mumuweze huyu? Na mlihitaj walau goli moja tu ila mkalikosa😄😄😄

Hapa hatuzungumzii malumo gallants, rives united, monastir waka zalan fc. Hizi timu tunazokutana nazo ni giants
 
Kuna video inayo trend Mitandaoni yenye sauti ya mzee Dalali aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba na kwasasa yupo kamati ya roho mbaya.
Sauti Ile ya Dalali inasena yeye Yupo ndani ya uwanja wa Amani Tangu Asubuhi na kweli maana inaonekana video ya uwanja na majukwaa yakiwa hayana watu.

Mzee ana tamba msiwe na wasi kilakitu kipo sawa, Sasa mtu mwenye akili atajiuliza Mzee Dalali yupo uwanjani Tangu Asubuhi ya saa moja, ata Meneja wa uwanja hajafika inamaana ame lala uwanjani yeye na kamatiyake!!

Ni utaratibu upi unao ruhusu mtu kulala/ kuingia uwanjani Alfajiri na anakaa mpaka jioni wakati wa mechi ili afanye Nini?

Video nyingine inaonyesha Shabiki wa Simba ana ruka uzio wa uwanja na kwenda kuiba maji yaliyo wekwa kwenye Goli la wapinzani wa Simba wakati timu iyo pinzani ikifanya warming up.

Vitendo hivi vinavyo husisha Imani za kishirikina vimekua vikijitokeza Kila Simba inapo cheza hamuoni kama vinaleta kashfa kwa klabu yenu na Taifa kwa ujumla.

Ata kama mme kubuhu katika ushirikina simngekua mnafanya ukonje ya uwanja amuoni fedheha kwa watazamaji wengi wanao angalia katika eneo kubwa la Afrika ?

Ata kama ni wabobezi katika shirki basi fanyeni kwa Siri kuepuka fedheha kwa Taifa.
 
Yanga hii hii iliyoshindwa hata kupata goli moja Kwa Mkapa dhidi ya Mwarabu na kuishia kwenye makundi?
Yanga mnamidomo sana.
 
Back
Top Bottom