Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Wapi? When , which ?

Hamna icho

Wali draw
Screenshot_20250420-215625.png


Wenye akili ni wawili tu
 
I swear

Pale ingeshinda nyongi

Kitengo cha intellgence cha Ssc kimefeli sna

Mpira ni energy…. Energy flow kwa taifa ni kubwa na ule ndio uwanja wa SSC

KUNA ENERGY TRANSCENDENCE KUBWA

ZNZ walikuwa ugenini

iMeisha iyo
Mmejuaje alichoamua bibi kuhusu Zenji
 
U

Ubora wa kukosa goli wewe na kipa
Ukubali ukatae ipo hivyo mkuu,nyie mngeonyesha mfano jinsi ya kupiga watu hizo tano pale kwa mkapa,Mc algiers mngemkanda tano,al hilal nae mngemkanda tano hapa tusingekuwa na mjadala mrefu kuhusu hili,
 
Haikupaswa kupeleka game NZN.

Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi

Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
we mshabiki wa yanga alafu lia hujui mpira zaidi ya porojo tu na ulivyo zwazwa unajishaua eti mechi haikutakiwa kupelekwa zanzibar eti ilitakiwa ichezwe kwa mkapa..hujioni unavyo kurupuka yaani hujui kama uwanja wa mkapa umefungiwa na CAF hivyo simba wakatakiwa watafute uwanja mwingine nje ya nchi..punguza shobo we utopolo
 
Akili za Hawa mbumbumbu wanazijua wao,,Kuna shabiki Mmoja amehojiwa yeye amejikita kwenye ulozi maana wamewekeza sana kwenye iyo idara na sio uwezo wa timu,,anasema eti uwanja wa Amani na ule wa Azam ni viwanja vigumu kwao hivyo viongozi awakupaswa kupeleka mechi kule kwasababu mambo yao ya kiufundi uwa yanashindikana sasa nimejiuliza ayo mambo ya kiufundi ni yapi?
 
Kule MISRI Almaty aliruhusu goli?

Tupunguze kuota

Game za Africa huchezwa Home sio away
Mbona Yanga ilifungwa home 1 -2 ikaenda kushinda 0-1 away kwenye ile fainali?
Au hukuona mechi mbili za Yanga kwenye fainali za mashindano haya?
Jifunze mambo ya mpira
 
Yanga hii hii ambayo ilitakiwa kupata goli Moja tu mbele ya mwarabu mbovu ndiyo ingeifunga hii timu goli 5? Ila Mashabiki wa utopolo mna matatizo mengi vichwani mwenu.
Matatizo ya akili yako simba ambapo mwenye akili ni Rage tu , makolo mliobaki mnashabikia kombe la loosers , kombe la wamama single mothers aka shirikisho.

Yanga ilikosa goli moja kombe la wanaume klabu bingwa ambako simba mdebwedo haikutia mguu!

Yanga tunarudi kibabe msimu ujao klabu bingwa Africa maana kosa letu tunajua ni kupanga vibaya kikosi mechi za mwanzo na kukosa points muhimu biashara asubuhi
 
Akatolee sare wapi?

Zamaleki alipata matokeo gani pale SA ?
Zamaleki sio Simba. Tusizoee kukariri baadhi ya mambo. Lolote linaweza kutokea kwenye soka. Timu zote zilizofika hatua hii zipo vizuri. Kwa taarifa yako Simba inafika fainali. Mark this post.
 
Matatizo ya akili yako simba ambapo mwenye akili ni Rage tu , makolo mliobaki mnashabikia kombe la loosers , kombe la wamama single mothers aka shirikisho.

Yanga ilikosa goli moja kombe la wanaume klabu bingwa ambako simba mdebwedo haikutia mguu!

Yanga tunarudi kibabe msimu ujao klabu bingwa Africa maana kosa letu tunajua ni kupanga vibaya kikosi mechi za mwanzo na kukosa points muhimu biashara asubuhi
Simba ingeshiriki champions league isingeshika chupi mkononi mapema kama yanga
 
Matatizo ya akili yako simba ambapo mwenye akili ni Rage tu , makolo mliobaki mnashabikia kombe la loosers , kombe la wamama single mothers aka shirikisho.

Yanga ilikosa goli moja kombe la wanaume klabu bingwa ambako simba mdebwedo haikutia mguu!

Yanga tunarudi kibabe msimu ujao klabu bingwa Africa maana kosa letu tunajua ni kupanga vibaya kikosi mechi za mwanzo na kukosa points muhimu biashara asubuhi
Yanga iliwahi kufika fainali kwenye kombe hili hili. Kwa hiyo nao ni wamama.
Think twice before you post anything.......
 
Kimahesabu stella... atakuwa na kazi ya ziada, kwanza kuhakikisha wanafunga goli pili kuhakikisha simba hapati goli
Na usisahau Stella kila wakiongeza nguvu ya mashambulizi wanajiweka kwenye hatari ya wao kufikiwa na kushambuliwa.
Hana wepesi wa kupata matokeo kama anavyolqzimisha mleta uzi.
Nachojua huko South kitanuka haswaa.
 
Back
Top Bottom