Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

Kwa timu gani uliyonayo?hiyo Robo fainali tuu umefika kwa kuunga unga

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza kwa timu gani uko sawa kweli mkuu?

Hiyo ya kuungaunga ipo robo klabu bingwa yako iliyokamilika ha ha ilifurushwa iko huko na underdog wenzake mnapigiana kelele

Lini wewe utakutana na giants wa Afrika kama pyramid tu mmekesha mkitambika msikutane nao
 
FB_IMG_1680371672550.jpg
 
Nliona hadi rais anafurahi kupangiwa rivers,yaani wameshangilia sana walikuwa wanahofu kupangiwa wamorocco as far rabart...sasa watapata wapi ukubwa kama kila siku wanacheza na vibonde??timu pekee kubwa ambayo simba haijacheza nayo mpaka sasa ni mamelodi na kina pyramid hao ndo wakubwa wenzetu.
FAR Rabat alikua anaongoza kundi tutapangwa nae vipi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa wydad????
Hebu tutolee historia yako isiyo na mashiko hapa.
 
Kwanini hakuna mchambuzi wala mwanayanga anaeongelea kombe lao la shirikisho ? Wote wanaongelea kombe la klabu bingwa tu.
Au kwakuwa huko shirikisho ni timu dhaifu na klabu bingwa ni timu kisawasawa?
 
Back
Top Bottom