Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

Kwa timu gani uliyonayo?hiyo Robo fainali tuu umefika kwa kuunga unga

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza kwa timu gani uko sawa kweli mkuu?

Hiyo ya kuungaunga ipo robo klabu bingwa yako iliyokamilika ha ha ilifurushwa iko huko na underdog wenzake mnapigiana kelele

Lini wewe utakutana na giants wa Afrika kama pyramid tu mmekesha mkitambika msikutane nao
 
 
FAR Rabat alikua anaongoza kundi tutapangwa nae vipi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hebu tutolee historia yako isiyo na mashiko hapa.
 
Kwanini hakuna mchambuzi wala mwanayanga anaeongelea kombe lao la shirikisho ? Wote wanaongelea kombe la klabu bingwa tu.
Au kwakuwa huko shirikisho ni timu dhaifu na klabu bingwa ni timu kisawasawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…