Simba SC hamna uwezo wa kugomea mechi kama Yanga SC tulivyofanya

Kwani yanga na simba nani kapanda ndege mara nyingi?(kushiriki mashindano ya kimataifa)
Kuna mtu kaanza Form one na hadi kamaliza form 4 hajawahi kuzisikia Yanga ukichukua kombe na siajabu ataenda kumali form 6 asione na ikiwezekana Hadi amalize degree!!..Hapo ndio utajua Ukubwa wa Yanga ni kuifunga Simba sio kuchukua Ubingwa
 
Toa ujinga wako hapa
 
Kakojoe ukalale uto
 
Huzijui vizuri hizi timu
 
Mr muharo unaendeleaje huko?
 
Yaani utopolo awe na viongozi makini juu ya kanuni na sheria za mpira kuliko simba? Unaota au? Kama Morrison tu kawagalagaza huko Cas bado unaongea utumbo kama huu?
Waulize Tp mazembe watakwambia mziki wa simba ukoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…