Simba SC hata wakipewa miaka kumi ya kujiandaa Kama walivyoiomba Bodi ya ligi ni ngumu kuifunga Al Ahly

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4
 
Ngoja wapigwe kwanza nje ndani na hao Al Ahly! Na kwenye makundi nako washike mkia, ili zile kelele zao za kumkataa Robertinho zianze upya.
 
Ugonjwa huo wa kupoteza KUMBUKUMBU ndio umekuanza au UMEKURUDIA?
Sio ugonjwa wa kumbukumbu. Ni kichaa kabisa. Alikuja na madudu kabla ya mechi na Prisons akabaki na aibu ya kudai mechi itachezwa Nelson Mandela.Huyu ni kichaa msimchukulie serious. Anangoja nafasi tu Mirembe.Kadi tayari bado anangoja kitanda.
 
HUNA MARINDA NA HUNA AKILI [emoji41]
 
Zuchu aliimba hivi

Wan tu
Wan tu
Eh
Maiki cheki😂😂😂
 
Reactions: BRN
Breaking News nasikia Utopolo wengi wameshikwa na tumbo la kuhara baada ya kuona kundi lao.Mara nyingi mdomo huponza.Uliyemtaja kaja.
 
Mbona hata ‘Nyuma mwiko’ kapangwa kundi moja D na Al Ahly! Hapo unatuambia nini kuhusu ‘Nyuma mwiko’.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…