2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUNA AKILIMkuu Avatar yako, kichwa kama pumb**** za faru john
Samahani lakini, nalia ngwena
SAWA MCHUNGAJI WA MCHONGOUsimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4
Nimeomba samahani mkuuHUNA AKILI
Ngoja wapigwe kwanza nje ndani na hao Al Ahly! Na kwenye makundi nako washike mkia, ili zile kelele zao za kumkataa Robertinho zianze upya.Ndiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri.
Ni Bora Simba sc wacheze mechi na Singida fountain Gate Fc ili ikitokea wamepigwa goli za kutosha na kutolewa katika michuano hiyo ya mbuzi Al maarufu super league wawe na Cha kusingizia kwamba walicheza mechi ngumu kabla ya kukutana na Al ahly.
Gape la kutoka tar 8 mpaka tar 20 ni kubwa mno na wachezaji watakua wamepnzika vya kutosha Sasa sijui Simba wana malengo gani kuomba mechi Yao dhidi ya Singida fountain Gate kupelekwa mbele.
Bodi ya ligi wakitoa hata miaka kumi kwa Simba bado ni ngumu kwa Simba sc kumfunga Al ahly Hilo halina ubishi Wala halina unafiki.
Sio ugonjwa wa kumbukumbu. Ni kichaa kabisa. Alikuja na madudu kabla ya mechi na Prisons akabaki na aibu ya kudai mechi itachezwa Nelson Mandela.Huyu ni kichaa msimchukulie serious. Anangoja nafasi tu Mirembe.Kadi tayari bado anangoja kitanda.Ugonjwa huo wa kupoteza KUMBUKUMBU ndio umekuanza au UMEKURUDIA?
HUNA MARINDA NA HUNA AKILI [emoji41]Sio ugonjwa wa kumbukumbu. Ni kichaa kabisa. Alikuja na madudu kabla ya mechi na Prisons akabaki na aibu ya kudai mechi itachezwa Nelson Mandela.Huyu ni kichaa msimchukulie serious. Anangoja nafasi tu Mirembe.Kadi tayari bado anangoja kitanda.
Msamehe bure hajui anachoKINENA.Gape ndio kitu gani?
Tumeambiwa huko wenye akili ni wawili tu, na walitajwa kwa majina
Sawa wewe utapigwaje??Ngoja wapigwe kwanza nje ndani na hao Al Ahly! Na kwenye makundi nako washike mkia, ili zile kelele zao za kumkataa Robertinho zianze upya.
Yanga ina uwezo wa kushinda nyumbani na ugenini. Tena kwenye zile mechi ngumu za kuamua matokeo.Sawa wewe utapigwaje??
Ilanfya amesoma hapaYanga ina uwezo wa kushinda nyumbani na ugenini. Tena kwenye zile mechi ngumu za kuamua matokeo.
So what!!Ilanfya amesoma hapa
Amecheka😂
Futa hii nakuheshimu [emoji41]
Ndiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri.