OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonde chonde jaman wana Simba, sisi Yanga tuna sherehe yetu leo, mnachotaka kukifanya kitazima shamra shamra zetu. Sherehe yenyewe tayari ishadoda wiki nzima hakuna hata anaeizungumzia.View attachment 2695885
View attachment 2695886
Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
Hivi kumbe leo Uto wana katamasha chao.... DahhhHii sasa sifa jamaniii….hamjui wenzetu wana ka event kao??
Kwikwikwikwikwi.....Chonde chonde jaman wana Simba, sisi Yanga tuna sherehe yetu leo, mnachotaka kukifanya kitazima shamra shamra zetu. Sherehe yenyewe tayari ishadoda wiki nzima hakuna hata anaeizungumzia.
Tunawaomba wanasimba mkiwa kama wakubwa wenzetu na wana Kariakoo wenzetu msifanye hicho mnachotaka kukifanya, sisi ni wamoja na haya mambo yanazungumzika.
Sababu siku za usajili bado zipo tunawaomba msogeze mbele hili tukio ili tumalize sherehe yetu iliyododa.
👐
Mpaka muda huu sijaona sold outNa jamaa zetu wakiwa kwenye siku zao leo watakuwa na wakati mgumu kuangalia ni damu ya namna gani itavuja hyo sa sabaaaa mchna
Jamaa wameshamshtukia injinia si kawapanga kuhusu namba sita kifupi wananchi imani na huu usajili wao hawanaMpaka muda huu sijaona sold out
Nawaombea mvua isinyeshe. Yaani kamekosa mvuto hicho kitamasha.Na hiki kimvua huko Taifa sijui