ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unaumia nini? sema kinacho kuuma tukusaidie yaani mwaka mzima wewe ni vilio tuVVIP ni tickets ambazo hata 15 hazifiki.
Ni tickets ambazo hazifikii hata robo ya thamani kwenye mzunguko.
Wishing ya Club ni kuona watu wengi wananunua tickets z mzunguko maana huko ndiko faida ilipo.
Hizo tickets za VVIP mostly zimenunuliwa na vigogo wa serikali ( wakina mwigulu nk) ambao hao sio wakutoa vibe uwanjani.
Na sometimes unaweza kuta wamenunua halafu siku ya tukio wasitokee.