Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Utofauti ni kwamba huyo Skudu katika carrier yake hajawahi kuvaa jezi namba 6Ukweli gani vitu vidogo mnataka kuvifanya story, hapo umbumbuni kabla Chama hajarudi alie kua ana vaa jezi number 17 alikua nani? alipo rudi mungu wengu akapokonywa mbona haikua issue
Na nyie milikuwa mmetengeneza attention kuwaandaa mashabiki kuwa mchezaji mtakaye msajili anavaa jezi namba 6 ni hatari.
Hapo ndipo mlipokosea.
Kwasababu watu walijua huyu namba 6 kivyovyote ni jezi ambayo amekuwa akiitumikia tangu huko alipotoka.
Sasa kuja kumsajili Skudu ambaye hajawahi vaa jezi namba 6 na wala kwake hiyo sio favourite namba, ila mkatumia ushawishi avae jezi namba 6 kwasababu mlikwisha toa ahadi kwa mashabiki wenu hiyo haiwezi kuwa sawa.