Simba Sc hatujamaliza, Saa 7 tunasambaratisha kila kitu

View attachment 2695885
View attachment 2695886

Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
Chonde chonde jaman wana Simba, sisi Yanga tuna sherehe yetu leo, mnachotaka kukifanya kitazima shamra shamra zetu. Sherehe yenyewe tayari ishadoda wiki nzima hakuna hata anaeizungumzia.

Tunawaomba wanasimba mkiwa kama wakubwa wenzetu na wana Kariakoo wenzetu msifanye hicho mnachotaka kukifanya, sisi ni wamoja na haya mambo yanazungumzika.

Sababu siku za usajili bado zipo tunawaomba msogeze mbele hili tukio ili tumalize sherehe yetu iliyododa.
👐
 
Kwikwikwikwikwi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…