ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unaumia nini? sema kinacho kuuma tukusaidie yaani mwaka mzima wewe ni vilio tuVVIP ni tickets ambazo hata 15 hazifiki.
Ni tickets ambazo hazifikii hata robo ya thamani kwenye mzunguko.
Wishing ya Club ni kuona watu wengi wananunua tickets z mzunguko maana huko ndiko faida ilipo.
Hizo tickets za VVIP mostly zimenunuliwa na vigogo wa serikali ( wakina mwigulu nk) ambao hao sio wakutoa vibe uwanjani.
Na sometimes unaweza kuta wamenunua halafu siku ya tukio wasitokee.
Kwa jinsi ulivyo kilaza huwezi kuangalia hio pic ukajua hapo ni asubuhKwa hapa we umekaa wapi?
View attachment 2696087
Nani alikwambia huyo no 6 alikua anavaa hio number before? mmekutolea mfano wa Ronaldo ni lini alivaa jersey number 9 ?
Hiyo picha ni ya saa 8 usipagawishwe na uhafifu wa jua, huku dar kuna hali ya mawingu mawinguKwa jinsi ulivyo kilaza huwezi kuangalia hio pic ukajua hapo ni asubuh
Malalamiko yako kuwa naumia yanaonyesha dhahiri kuwa wewe ndio unaumiaUnaumia nini? sema kinacho kuuma tukusaidie yaani mwaka mzima wewe ni vilio tu
Mkuu hauna ile clip aliokusanya kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji, Katibu wake, Mhasibu na Wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji?Msikiti umeuzwa shehe. Unaikumbuka hii Matola?
Usitegemee kuona labda kama ni vitafunwaMpaka muda huu sijaona sold out