Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi.

Hasira zetu tutazimalia ASFC Tanga pale tukimaliza Kumtia Adabu Azam FC Jumamosi ijayo kisha Kukutana na Kiherehere Mmoja na Safari hii kuna Uwezekano nisimpige Bao Mbili na sasa nikapiga kabisa Mkono ( Goli 5 ) au Saba ( 7 ) kabisa za Horoya FC.

Mliicheka Simba SC Kufungwa na Wydad Casablanca FC Juzi na Kutolewa mkisema ni Timu Mbovu je, vipi sasa kwa Timu ya Raja Casablanca FC ambayo hata nyie Viherehere FC mliishabikia mno pale iliponifunga Ndani Nje huku ikiwa ni Timu Kubwa, Maarufu na Tajiri kuliko Simba SC?

Nasubiri majibu yenu Wanafiki Okay?
Juzi kwenye derby tulimiacheni kwa malengo,sasa hiyo ASFC mtakiona kilicho mnyonyoa kanga manyoya🤸🤸
 
Bado mna alia lia tu msiba wenu tusha zika mbona. Hadi tume sahau
 
Kimsingi kule CAFCL team ndogo huanza kuchujwa kwenye zile hatua za awali ambazo Yanga Sc alitokea, kisha mchujo wa team mbovu unaendelea kwenye makundi ili kupata team mbili za viwango vya juu katika kila kundi.

Zile team 8 ambazo zinazoingia robo fainali hakuna mbovu pale, unless mnataka kila team kati ya hizo 8 ichukue kombe, kitu ambacho hakiwezekani. Na kama kiwango kizuri (katika mashindano husika) ni kuchukua kombe, basi tukubaliane kwamba zile team 7 kati ya zile nane za robo fainali ni mbovu zote kwasababu hazipati kombe.

Leo hii Raja Casablanca eti kwakua katoka robo fainali unaweza kumlinganisha na team yoyote iliyoko shirikisho? Vivyo hivyo huwezi kuifananisha Simba Sc na team zilizoko shirikisho, kwakua zilizoko kule zilichujwa.

Kwahiyo kuhusu zile kelele za kusema Simba Sc ni team mbovu, mimi nadhani huwa ni upumbavu kwa mashabiki wa Tz hasa wale wa upande wa kijani, ambao hata hapa watakuja na hoja zao za kijinga.
✊✊
 
Mkuu kiukweli hawa uto wanafurahia sisi kutolewa mashindanoni kwani hicho pekee ndo kisasi chao dhidi ya mishale miwili butu ya kibu denga na mshkaji wake inonga, japo wanaona kbisa wydad walivyosota kutuondosha ila wanakaza shingo kutuzomea ilihali levo za mnyama na uto ni kama "k" na "nya"
Tulieni kikubwa mlitolewa, yaani dakika 90 shot on target sifuri, umiliki wa mpira asilimia 34% bado ilikuwa kwa shida?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi.

Hasira zetu tutazimalia ASFC Tanga pale tukimaliza Kumtia Adabu Azam FC Jumamosi ijayo kisha Kukutana na Kiherehere Mmoja na Safari hii kuna Uwezekano nisimpige Bao Mbili na sasa nikapiga kabisa Mkono ( Goli 5 ) au Saba ( 7 ) kabisa za Horoya FC.

Mliicheka Simba SC Kufungwa na Wydad Casablanca FC Juzi na Kutolewa mkisema ni Timu Mbovu je, vipi sasa kwa Timu ya Raja Casablanca FC ambayo hata nyie Viherehere FC mliishabikia mno pale iliponifunga Ndani Nje huku ikiwa ni Timu Kubwa, Maarufu na Tajiri kuliko Simba SC?

Nasubiri majibu yenu Wanafiki Okay?
Timu Mbovu zilikuwa kundi moja
 
Wewe tutusa niambie kati ya Juaneng Galaxy Makirikiri na Simba ipi timu kubwa tuanzie hapo uchambuzi

Huwa siwezi kujadil chochote na mtu amaetanguliza matusi, maana huwa sina uvumilivu wa kuachana na matusi yake ili nijadili hoja.

Nadhani unaweza kujadiliana na wenzako mnaolingana akili humu, ndio uzuri wa Jf huo.
 
Makirikiri walikubandua ukaenda shirikisho nako ukabanduliwa unabwabwaja nini hapa
 
Back
Top Bottom