Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

Juzi kwenye derby tulimiacheni kwa malengo,sasa hiyo ASFC mtakiona kilicho mnyonyoa kanga manyoya🤸🤸
 
Bado mna alia lia tu msiba wenu tusha zika mbona. Hadi tume sahau
 
✊✊
 
Tulieni kikubwa mlitolewa, yaani dakika 90 shot on target sifuri, umiliki wa mpira asilimia 34% bado ilikuwa kwa shida?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Timu Mbovu zilikuwa kundi moja
 
Wewe tutusa niambie kati ya Juaneng Galaxy Makirikiri na Simba ipi timu kubwa tuanzie hapo uchambuzi

Huwa siwezi kujadil chochote na mtu amaetanguliza matusi, maana huwa sina uvumilivu wa kuachana na matusi yake ili nijadili hoja.

Nadhani unaweza kujadiliana na wenzako mnaolingana akili humu, ndio uzuri wa Jf huo.
 
Makirikiri walikubandua ukaenda shirikisho nako ukabanduliwa unabwabwaja nini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…