Simba Sc imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi moja ya nyumbani ya CAF CL

Sasa hapo kuna utani gani ? Zaidi ya kueleweshana tu , ndio maana kuna ignore, matusi unawekwa humo.
Sheikh, neno mbumbumbu ni la utani tu, na aliyewaita mbumbumbu kwa mara ya kwanza ni mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage! Ni kama tu mnavyotuambia sisi mashabiki wa Yanga ni vyura, utopolo, nk.

Ukiniita chura, utopolo, nyani, wenye akili ni wawili tu, nk kwa kigezo cha utani; kamwe siwezi kukutukania mama yako. Kwa hiyo mashabiki wa simba na Yanga tujitahidi kuchukuliana humu jukwaani.
 
Mbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.

Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.

Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.

Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.

All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.
 
Kitendo cha kuletewa Manzoki kwenye uchaguzi ni u mbumbumbu tosha
 
Sheikh, neno mbumbumbu ni la utani tu, na aliyewaita mbumbumbu kwa mara ya kwanza ni mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage! Ni kama tu mnavyotuambia sisi mashabiki wa Yanga ni vyura, utopolo, nk.

Ukiniita chura, utopolo, nyani, wenye akili ni wawili tu, nk kwa kigezo cha utani; kamwe siwezi kukutukania mama yako. Kwa hiyo mashabiki wa simba na Yanga tujitahidi kuchukuliana humu jukwaani.
Mkuu kesho Hawa humu watapakimbia naziona bao 5 kesho
 
Back
Top Bottom