Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Kama ni hivyo basi mhamie sasa Jamii intelligence huko mkamwage madini. Ila siyo kutuaminisha humu eti simba imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi zao yao Kimataifa kwa sababu ya TFF na CCM! Hapa lazima utaitwa tu mbumbumbu.Na utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani 😅