Simba Sc imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi moja ya nyumbani ya CAF CL

Mbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.

Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.

Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.

Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.

All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.
Na utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani 😅
 
Mbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.

Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.

Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.

Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.

All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.
Nimefarijika umekubaliana na mimi ya kwamba mashabiki/wanachama wa simba ni mbumbumbu. Hilo neno "wengine" sidhani kama linaondoa maana ya neno "mbumbumbu".
 
Back
Top Bottom