Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
😀😀Baada ya kuichunia CCM na wahuni wa samia naona mkaamua kutuia TFF sasa kuumiza Simba.Ingekuwa chama cha wafanyakazi mgetumia polisi
Kumbe CAF siku hizi ipo chini ya TTF na Samia suluhu?Baada ya kuichunia CCM na wahuni wa samia naona mkaamua kutuia TFF sasa kuumiza Simba.Ingekuwa chama cha wafanyakazi mgetumia polisi
Kwa hali hii Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu.Baada ya kuichunia CCM na wahuni wa samia naona mkaamua kutuia TFF sasa kuumiza Simba.Ingekuwa chama cha wafanyakazi mgetumia polisi
😀😀Kwa hali hii Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu.
Ndugu, usikimbilie kuwatukania wenzako mama zao huku ukiwa huna sababu ya msingi. Mbumbumbu siyo tusi! Badala yake ni neno tu linalo maanisha mtu asiyefahamu jambo fulani.Kama kisime cha mama yako au sio
Tena ni neno tu la utani wa kimichezo.Ndugu, usikimbilie kuwatukania wenzako mama zao huku ukiwa huna sababu ya msingi. Mbumbumbu siyo tusi! Badala yake ni neno tu linalo maanisha mtu asiyefahamu jambo fulani.
Kama anafahamu ilibidi kuweka wazi sio kujibu watu huyoNdugu, usikimbilie kuwatukania wenzako mama zao huku ukiwa huna sababu ya msingi. Mbumbumbu siyo tusi! Badala yake ni neno tu linalo maanisha mtu asiyefahamu jambo fulani.
Duh!caf na ccm vinahusiana vipi?Baada ya kuichunia CCM na wahuni wa samia naona mkaamua kutuia TFF sasa kuumiza Simba.Ingekuwa chama cha wafanyakazi mgetumia polisi
Sasa hapo kuna utani gani ? Zaidi ya kueleweshana tu , ndio maana kuna ignore, matusi unawekwa humo.Tena ni neno tu la utani wa kimichezo.
Na tena lilikaziwa na aden rageTena ni neno tu la utani wa kimichezo.
Sheikh, neno mbumbumbu ni la utani tu, na aliyewaita mbumbumbu kwa mara ya kwanza ni mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage! Ni kama tu mnavyotuambia sisi mashabiki wa Yanga ni vyura, utopolo, nk.Sasa hapo kuna utani gani ? Zaidi ya kueleweshana tu , ndio maana kuna ignore, matusi unawekwa humo.
Labda Cuf ya LipumbaDuh!caf na ccm vinahusiana vipi?
Mbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.Sheikh, neno mbumbumbu ni la utani tu, na aliyewaita mbumbumbu kwa mara ya kwanza ni mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage! Ni kama tu mnavyotuambia sisi mashabiki wa Yanga ni vyura, utopolo, nk.
Ukiniita chura, utopolo, nyani, wenye akili ni wawili tu, nk kwa kigezo cha utani; kamwe siwezi kukutukania mama yako. Kwa hiyo mashabiki wa simba na Yanga tujitahidi kuchukuliana humu jukwaani.
Kitendo cha kuletewa Manzoki kwenye uchaguzi ni u mbumbumbu toshaMbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.
Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.
Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.
Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.
All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.
Mkuu kesho Hawa humu watapakimbia naziona bao 5 keshoSheikh, neno mbumbumbu ni la utani tu, na aliyewaita mbumbumbu kwa mara ya kwanza ni mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage! Ni kama tu mnavyotuambia sisi mashabiki wa Yanga ni vyura, utopolo, nk.
Ukiniita chura, utopolo, nyani, wenye akili ni wawili tu, nk kwa kigezo cha utani; kamwe siwezi kukutukania mama yako. Kwa hiyo mashabiki wa simba na Yanga tujitahidi kuchukuliana humu jukwaani.