Na utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani πMbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.
Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.
Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.
Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.
All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.
Kwani alikuja kama mchezaji au mgeni mualikwa.Kitendo cha kuletewa Manzoki kwenye uchaguzi ni u mbumbumbu tosha
Bora umejisemea ndugu yangu.Na utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani π
Ikifika sa 1 usiku usikimbie jukwaani ππππππNa utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani π
Utani wa kutukanana hapana kabisaBora umejisemea ndugu yangu.
Kwahiyo mkuu hutaki kuitwa mbumbumbu?Na utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani π
Nikimbie kwa sababu zipi?Ikifika sa 1 usiku usikimbie jukwaani ππππππ
Wewe unataka?Kwahiyo mkuu hutaki kuitwa mbumbumbu?
Hata mimi siupendi.Utani wa kutukanana hapana kabisa
Mimi huwa nayanichukiza hivyo tupo tofautiHata mimi siupendi.
Ila akiniita haya majina tunayobatizana wala hayanichukizi.
Kesho sio mbali ππππNikimbie kwa sababu zipi?
Kesho kuna nini kwaniKesho sio mbali ππππ
Kaka umelewa Nini ππππKesho kuna nini kwani
Kaka umelewa Nini ππππ
Kashatupia chenye kinywanji chenye -OH group as functional group.Kaka umelewa Nini ππππ
Unafikiri kutupia ni mia mbiliKashatupia chenye kinywanji chenye -OH group as functional group.
Jamaa wamevurugwa na propaganda za viongozi wao vibaya mnoLabda Cuf ya Lipumba
πππKashatupia chenye kinywanji chenye -OH group as functional group.
Kesho Kazi wanayoJamaa wamevurugwa na propaganda za viongozi wao vibaya mno
Nimefarijika umekubaliana na mimi ya kwamba mashabiki/wanachama wa simba ni mbumbumbu. Hilo neno "wengine" sidhani kama linaondoa maana ya neno "mbumbumbu".Mbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.
Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.
Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.
Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.
All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.