Kama ni hivyo basi mhamie sasa Jamii intelligence huko mkamwage madini. Ila siyo kutuaminisha humu eti simba imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi zao yao Kimataifa kwa sababu ya TFF na CCM! Hapa lazima utaitwa tu mbumbumbu.Na utani wa jadi uwe kwa simba na yanga kama timu na baadhi ya washabiki wanaotaka huo utani , kuna wengine kama mimi wa simba sitaki utani π
Wapi nimeaminisha hivyo?Kama ni hivyo basi mhamie sasa Jamii intelligence huko mkamwage madini. Ila siyo kutuaminisha humu eti simba imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi zao yao Kimataifa kwa sababu ya TFF na CCM! Hapa lazima utaitwa tu mbumbumbu.
Kumbe Manzoki siku ile alisafiri toka China na kuja kwenye mkutano wenu wa uchaguzi kama mgeni mualika! Aisee hii siri mliificha kwa muda mrefu sana.Kwani alikuja kama mchezaji au mgeni mualikwa.
Kwahyo hairuhusiwi kuleta mgeni mualikwa kwenye mkutano.
Hii stori huoni wachambuzi wakikaza fuvu kuichambua wanaipita kama wanaaga maiti.....ila ingekuwa upande ule ambao uliwalipua kubembeleza posho za 10kππMaamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry.
Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
Kweli unafanya Cheupe aonekane alijua kuotea kuhusu nyie.Nimefarijika umekubaliana na mimi ya kwamba mashabiki/wanachama wa simba ni mbumbumbu. Hilo neno "wengine" sidhani kama linaondoa maana ya neno "mbumbumbu".
Nani kaandika mgeni mualika.Kumbe Manzoki siku ile alisafiri toka China na kuja kwenye mkutano wenu wa uchaguzi kama mgeni mualika! Aisee hii siri mliificha kwa muda mrefu sana.
Kwani alikuja kama mchezaji au mgeni mualikwa.
Kwahyo hairuhusiwi kuleta mgeni mualikwa kwenye mkutano.
Soma hayo maelezo yako hapo juu. πNani kaandika mgeni mualika.
UTO hata umtwange kwenye kinu UTOPOLO hauwezi kumuisha.
Mbumbumbu wanaweza kuwa siyo Simba wote, ila hakuna wenye akili ndani ya Simba isipokuwa Kaduguda tu.Mbona lile lingine la HAMNAZO haujalitaja.
Pia nikusahihishe Rage alisema "WENGINE humu mbumbumbu" hakutujumuisha wote.
Na kiuhalisia hamuwezi kuwa wote na uelewa sawa ndio maana sisi SIMBA SC tuna mbumbumbu ila wachache hawazidi 10.
Ila sasa nyinyi tuliambiwa wenye AKILI ni wawili tu.Na ili kuthibitisha aliewaambia hakuwakosea mkamchukua ili awasaidia muwe nazo.
All in all utani wa jadi sio vita hahahahaha.
Alichojibu huyo jamaa kinaendana kabisa na maamuzi ya caf. Ndivyo walivyo mashabiki wengi wa simba. Kwao busara hawakuzaliwa nayoSheikh, neno mbumbumbu ni la utani tu, na aliyewaita mbumbumbu kwa mara ya kwanza ni mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage! Ni kama tu mnavyotuambia sisi mashabiki wa Yanga ni vyura, utopolo, nk.
Ukiniita chura, utopolo, nyani, wenye akili ni wawili tu, nk kwa kigezo cha utani; kamwe siwezi kukutukania mama yako. Kwa hiyo mashabiki wa simba na Yanga tujitahidi kuchukuliana humu jukwaani.
Nilichogundua wewe unasoma na kujibu kifupi UTOPOLO kichwani kwako unajionesha.Soma hayo maelezo yako hapo juu. π
Unayabadili maneno ya Manara ili kujifariji.Mbumbumbu wanaweza kuwa siyo Simba wote, ila hakuna wenye akili ndani ya Simba isipokuwa Kaduguda tu.