Simba SC imemtangaza Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
F0RBZ42WwAAVIki.jpg

Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda.

Onana amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC na ana uwezo wa kucheza namba zaidi ya tatu uwanjani, winga zote mbili na kucheza nyuma ya mshambuliaji namba 10.

Msimu uliopita Onana aliibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Rwanda akiwa na magoli 16 na assist 5 lakini ni Mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa Msimu nchini Rwanda yaani MVP
 
Ins52160607660_3543e175eacd49d9a251ee30002c3404_358198910_998990107948681_4879545225125812050_n.jpg

Onana nimemcheki youtube ...kwa kifupi hana maajabu yoyote ni mchezaji wa kawaida sana bila shaka atakuwa amesajiliwa kishabiki tu!
 
Huyu ni hatari langoni kwa mpinzani kuna Timu inapigwa Nge Nge za kutosha msimu huu 23/24 kupitia mwamba huyu Onana, kwanza anacheza 9 ya Uongo False Number Nine ni wachache sana kwenye ukanda huu..!
 
Back
Top Bottom