sasa wanapumuaje chini ya majiLigi ijayo tunauwana walai...leo nasikia mashujaa wamefanikiwa kutumbukia chini kabisa ya ziwa tanganyika watakuwa huko kwa mazoezi ya wiki mbili.
huyo mpaka mkataba wake utenguliwe ndio atangazweMi nikajua yule waliyemuiba airport[emoji16]
Imekuwa Safari rally?Sasa Kam alikuwa na uwezo kwann hyo ryano spot hawajafika popote
Sijui watakosaje pumzi uwanjanisasa wanapumuaje chini ya maji