Simba SC imemtangaza Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda

Simfahamu kiuchezaji, hivyo sitoweka neno angle hiyo.

Ninachoomba kujua, icho kibaba ni kweli kina miaka 23??
 
Kwa ufupi hakuna mchezaji mzuri west Africa akaja kucheza chini huku na hapa naongelea wote siongelei team moja ni team zote. mchezaji wa kiwango W.A haju huku ni simple tu, hao ni wachezaji wa kawaida tu kama tulionao tofauti majina yao na wanatumia profile ya nchi zao kuongeza thamani....
 
Hata Saprong nae alitoka Rwanda akiwa na rekodi nzuri.
 
Nimejuliza hii kutambulisha mchezaji akiwa kavalia jezi ya msimu uliopita nafikiri ni bongo tu bado tuna safari ndefu..
By the way Onana ni mwamba sana.
 
Nimejuliza hii kutambulisha mchezaji akiwa kavalia jezi ya msimu uliopita nafikiri ni bongo tu bado tuna safari ndefu..
By the way Onana ni mwamba sana.
Chelsea sio ya bongo ila bado wanatumia Jersey za msimu uliopita kutambulisha wachezaji.
 
Kuna chuma nakisubiri kitambulishwe msimu ujao patachimbika yetu macho..
 
Hii timu watachapana sana viboko msimu ujao,yule mzee wa kususa ajiandae
Tumeshawazoea hawa. Huu ndiyo muda wao wa kujimwambafai. Halafu ligi ikianza kuchangamka, wanaanza tena kutupiana lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…