MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona mbali sana! Hongera yako!Duh... siku kweli hazigandi!!! Mara makundi yashamalizika na wababe haooo Robo fainali
uzi wako ungekuwa 100% perfect kama ucngeijumuisha madrid na bayern munich kwenye mfano wakoBinafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS Vita na Al Ahly.
Nimeshangaa sana kuona 'mashabiki' wengi wakikata tamaa baada ya makundi ya CAF Champions League kupangwa siku ya jana, wengi 'wakidai' kuwa tumepangwa na timu ngumu.
Sasa nikiyatazama hayo manne sioni kundi lolote rahisi kama watu wanavyodhani. Kumbukeni hii miamba 16 yote 'imepitia na kufaulu' mikikimikiki yote ya hatua ya mtoano mpaka kutinga makundi, tofauti ya hizi timu ni 'kujiamini tu' kunakotokana na uzoefu wa baadhi ya timu.
Strategy kuu zitumiwazo na vigogo wazoefu wa haya mashindano ni hii:
1. Kushinda mechi zote za nyumbani
2. Kutafuta suluhu ugenini ( au ukizubaa unapigwa kwako kwa counterattack)
Hivyo tuelewe kwamba Africa hakuna giants kama Real Madrid, Barcelona au Bayern Munchen ambao 'wanakupiga nje ndani' utake usitake.
Timu yeyote inaweza kufungwa ugenini na timu yeyote inaweza kushinda nyumbani (hata hao Al Ahly 'wanaowaogopa' baadhi ya watu, pia wamefungwa mechi ya mwisho na timu ya Ethiopia ugenini).
Sasa watu wanavyokata tamaa najiuliza walitegemewa kupangwa na timu gani wao wanaiona rahisi? Mamelodi Sundowns, Tp Mazembe, Asec, Wydad, Esperance au nani?? Au mnadhani Horoya AC ni kibonde? Hawa jamaa ni wababe sana hasa wakicheza nyumbani kwao na msimu ulioisha walifika hadi robo fainali ya CAF Champions League.
Timu pekee ninayoiona dhaifu kwenye makundi ni FC Platinum ya Zimbabwe, ila zingine zote ni wababe tusijidanganye.
Ni ujinga mwanaume umepambana na sasa umeshaingia kwenye makundi halafu unakata tamaa hata mechi moja hujacheza eti sababu kufungwa kwenye Azam Cup, haya ni mashindano tofauti yenye approach na psychology tofauti hata kwa wachezaji na viongozi. Inafungwa Real Madrid itakuwa Simba SC.!!
Hii tabia ya kukata tamaa inaonyesha ni aina gani ya watu tulionao kwenye jamii yetu, watu wavivu wanaotegemea ajira za serikali, yaani serikali isipotangaza ajira ni vilio kila Kona. Kwa nini wachaga wako tofauti na waafrika wengine? Jibu ni rahisi sana, hawakati tamaa kwenye maisha na wanapambana kweli kweli sawa na wahindi na waarabu wa Tanzania.
Hebu watanzania tuache hizi tabia maana ndio adui wetu mkubwa kwenye kila sekta na si michezoni peke yake.
Binafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS Vita na Al Ahly.

uzi wako ungekuwa 100% perfect kama ucngeijumuisha madrid na bayern munich kwenye mfano wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee uko vizuri mwanangu unamzidi underdog shaffih DaudaBinafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS Vita na Al Ahly.
Nimeshangaa sana kuona 'mashabiki' wengi wakikata tamaa baada ya makundi ya CAF Champions League kupangwa siku ya jana, wengi 'wakidai' kuwa tumepangwa na timu ngumu.
Sasa nikiyatazama hayo manne sioni kundi lolote rahisi kama watu wanavyodhani. Kumbukeni hii miamba 16 yote 'imepitia na kufaulu' mikikimikiki yote ya hatua ya mtoano mpaka kutinga makundi, tofauti ya hizi timu ni 'kujiamini tu' kunakotokana na uzoefu wa baadhi ya timu.
Strategy kuu zitumiwazo na vigogo wazoefu wa haya mashindano ni hii:
1. Kushinda mechi zote za nyumbani
2. Kutafuta suluhu ugenini ( au ukizubaa unapigwa kwako kwa counterattack)
Hivyo tuelewe kwamba Africa hakuna giants kama Real Madrid, Barcelona au Bayern Munchen ambao 'wanakupiga nje ndani' utake usitake.
Timu yeyote inaweza kufungwa ugenini na timu yeyote inaweza kushinda nyumbani (hata hao Al Ahly 'wanaowaogopa' baadhi ya watu, pia wamefungwa mechi ya mwisho na timu ya Ethiopia ugenini).
Sasa watu wanavyokata tamaa najiuliza walitegemewa kupangwa na timu gani wao wanaiona rahisi? Mamelodi Sundowns, Tp Mazembe, Asec, Wydad, Esperance au nani?? Au mnadhani Horoya AC ni kibonde? Hawa jamaa ni wababe sana hasa wakicheza nyumbani kwao na msimu ulioisha walifika hadi robo fainali ya CAF Champions League.
Timu pekee ninayoiona dhaifu kwenye makundi ni FC Platinum ya Zimbabwe, ila zingine zote ni wababe tusijidanganye.
Ni ujinga mwanaume umepambana na sasa umeshaingia kwenye makundi halafu unakata tamaa hata mechi moja hujacheza eti sababu kufungwa kwenye Azam Cup, haya ni mashindano tofauti yenye approach na psychology tofauti hata kwa wachezaji na viongozi. Inafungwa Real Madrid itakuwa Simba SC.!!
Hii tabia ya kukata tamaa inaonyesha ni aina gani ya watu tulionao kwenye jamii yetu, watu wavivu wanaotegemea ajira za serikali, yaani serikali isipotangaza ajira ni vilio kila Kona. Kwa nini wachaga wako tofauti na waafrika wengine? Jibu ni rahisi sana, hawakati tamaa kwenye maisha na wanapambana kweli kweli sawa na wahindi na waarabu wa Tanzania.
Hebu watanzania tuache hizi tabia maana ndio adui wetu mkubwa kwenye kila sekta na si michezoni peke yake.
Bro unaujua mpira sio kama yule underdogBinafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS Vita na Al Ahly.
Nimeshangaa sana kuona 'mashabiki' wengi wakikata tamaa baada ya makundi ya CAF Champions League kupangwa siku ya jana, wengi 'wakidai' kuwa tumepangwa na timu ngumu.
Sasa nikiyatazama hayo manne sioni kundi lolote rahisi kama watu wanavyodhani. Kumbukeni hii miamba 16 yote 'imepitia na kufaulu' mikikimikiki yote ya hatua ya mtoano mpaka kutinga makundi, tofauti ya hizi timu ni 'kujiamini tu' kunakotokana na uzoefu wa baadhi ya timu.
Strategy kuu zitumiwazo na vigogo wazoefu wa haya mashindano ni hii:
1. Kushinda mechi zote za nyumbani
2. Kutafuta suluhu ugenini ( au ukizubaa unapigwa kwako kwa counterattack)
Hivyo tuelewe kwamba Africa hakuna giants kama Real Madrid, Barcelona au Bayern Munchen ambao 'wanakupiga nje ndani' utake usitake.
Timu yeyote inaweza kufungwa ugenini na timu yeyote inaweza kushinda nyumbani (hata hao Al Ahly 'wanaowaogopa' baadhi ya watu, pia wamefungwa mechi ya mwisho na timu ya Ethiopia ugenini).
Sasa watu wanavyokata tamaa najiuliza walitegemewa kupangwa na timu gani wao wanaiona rahisi? Mamelodi Sundowns, Tp Mazembe, Asec, Wydad, Esperance au nani?? Au mnadhani Horoya AC ni kibonde? Hawa jamaa ni wababe sana hasa wakicheza nyumbani kwao na msimu ulioisha walifika hadi robo fainali ya CAF Champions League.
Timu pekee ninayoiona dhaifu kwenye makundi ni FC Platinum ya Zimbabwe, ila zingine zote ni wababe tusijidanganye.
Ni ujinga mwanaume umepambana na sasa umeshaingia kwenye makundi halafu unakata tamaa hata mechi moja hujacheza eti sababu kufungwa kwenye Azam Cup, haya ni mashindano tofauti yenye approach na psychology tofauti hata kwa wachezaji na viongozi. Inafungwa Real Madrid itakuwa Simba SC.!!
Hii tabia ya kukata tamaa inaonyesha ni aina gani ya watu tulionao kwenye jamii yetu, watu wavivu wanaotegemea ajira za serikali, yaani serikali isipotangaza ajira ni vilio kila Kona. Kwa nini wachaga wako tofauti na waafrika wengine? Jibu ni rahisi sana, hawakati tamaa kwenye maisha na wanapambana kweli kweli sawa na wahindi na waarabu wa Tanzania.
Hebu watanzania tuache hizi tabia maana ndio adui wetu mkubwa kwenye kila sekta na si michezoni peke yake.
Sijui hajaelewa nini hapo!!Kakwambia Africa hakuna Giants kama R Madrid and the like wanaoweza kukufunga nje ndani, timu zote za Africa zinafungika ugenini.
Punguza kuishi katika historia ,badilikaHuwajui vizuri al ahly, na ndio watafanya vizuri kuliko wote hao.
Kwahyo bwana yule hilo jina mmemgeuzia yeye haahaa
AsanteWanao icheka Simba watashangaa Mtu kapita tena kiulain ngoja waone
Mkuu naamini tukianzia ugenini tukamalizia nymbn tutapita tu pasina kujali tunapangwa na naniNilikuwa nautafuta sana huu uzi
Big up.Binafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS Vita na Al Ahly.

Aiseee