Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

Hakika bado tuna safari ndefu sana. Haya wenzio wamekusikia.
 
Huo ni upuuzi, Huyu mwalimu hakika anajitambua na analijuwa haswa tatizo letu ktk soka.
Kimsingi Amunike ametugawa! Hatapata mafanikio na ataondoka kwa aibu! Pengine asishinde mechi hata moja.
 
Mambo ya Simba na Yanga hayana nafasi enzi hizi, kila siku timu inatobolewa matundu tu, wacha tujaribu vipaji vingine, hakika tutafika, kubembelezana no.
syo siri kwa hili kocha amekurupuka ni bora angewachukua hata awaweke bench sasa hapo keshaigawa starz aambiwe tz kuna simba na yanga japo hakuna maendeleo
 
Jamaa kanikumbusha Maximo alivyokua kwenye suala la nidhamu japo alilaumiwa baadae kwa matokeo mabovu huyu ngoja tusubiri
 
Kimsingi Amunike ametugawa! Hatapata mafanikio na ataondoka kwa aibu! Pengine asishinde mechi hata moja.
hapana nidhamu ndio imewagawa, wapo washabiki wa wahuni na washabiki wa mpira halisi.

huwezi endelea kisoka ukiwa huna nidhamu
 
Kuna mawili kumhusu Mhe. Ismail Aden Rage: Aidha nabii au mchawi.

Tangu alipogusia uwepo wa mambumbumbu Msimbazi, kauli yake imeendelea kujidhihirisha siku hadi siku. Hakika mawazo yako yanafanania uchakavu wa jengo la klabu ya bilioni 1 nukta 3

 
Acha useng wewe.... Wachezaji wamechelewa kuripoti kambini kwa mda walioambiwa.... Unataka u mwinyi kwenye masuala ya kitaifa... Wapigwe ban mazima....
Mafanikio yanaendana na nidhamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana nidhamu ndio imewagawa, wapo washabiki wa wahuni na washabiki wa mpira halisi.

huwezi endelea kisoka ukiwa huna nidhamu
Uwezo ndio unacheza mpira sio nidhamu pekee!
Laiti ingekuwa nidhamu tungewatumia waliolazwa ward ya mortuary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…